Pre GE2025 Tumbo la CCM ni mfano wa nyangumi mkubwa, amemeza wasanii wote wa Dunia akaona haitoshi sasa ameachama mdomo kumeza waimbaji wa injili na aaskofu

Pre GE2025 Tumbo la CCM ni mfano wa nyangumi mkubwa, amemeza wasanii wote wa Dunia akaona haitoshi sasa ameachama mdomo kumeza waimbaji wa injili na aaskofu

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)

Mganguzi

JF-Expert Member
Joined
Aug 3, 2022
Posts
1,604
Reaction score
3,715
Mungu ni Alfa na Omega. Sijui ikiwa CCM ni lango la ufalme wa mbinguni wanaheri wanaoikimbilia! Ole wenu ikiwa CCM ni lango la kuzimu nisawa na kumwabudu mfalme Sanekarebu kwa kuogopa kuuawa!!

Nimemuona Ambwene Mwasongwe, Bella Kombo, Christina Shusho, Martha Mwaipaja, Askofu Anthony Lusekelo, Kuhani Musa, Boniface Mwamposa na maaskofu lukuki

Ni jambo jema ikiwa CCM imesimama kwa mkono wa Mungu lakini ole wenu ikiwa CCM ni lango la mkuu wa Giza

Mtaukumbuka ujumbe huu baada uchaguzi, Mungu atawararua vibaya sana na mkono wake hautakuwa na huruma juu yenu

Amina
 
Matapeli yanayofanana hutenda mambo yao pamoja mzee wa upako tapeli,mwamposa tapeli,kuhani musa kubwa la.matapeli,Christina shusho kahaba,Martha mwaipaja kahaba
 
Kama Mbowe tu alilambishwa asali akatulia, iweje hawa vidagaa?

Ndugu pesa ni kitu kingine tofauti sana..

pesa ilimuua Yesu, haishindikani kuua Upinzani pia
 
Tofautisha Serikali na chama,

Tenganisha maslahi ya Serikali na maslahi ya chama tawala,

Mwisho ujue KAZI ya walinzi wa Nchi na Serikali katika Ulimwengu wa Roho.

Abwene Mwasongwe ni mlinzi wa Nchi katika zamu yake, hao wengine uliowataja malizana nao.
 
Mungu ni Alfa na omega ! Sijui ikiwa ccm ni lango la ufalme wa mbinguni wanaheri wanaoikimbilia ! Ole wenu ikiwa ccm ni lango la kuzimu nisawa na kumwabudu mfalme sanekarebu kwa kuogopa kuuwawa!! Nimemuona ambwene mwasongwe ,nimemuona ,bella kombo ,Christina shusho ,martha mwaipaja ,askofu Anthony lusekelo !kuhani musa ,Boniface mwamposa na maaskofu lukuki ni jambo jema ikiwa ccm imesimama kwa mkono wa mungu lakini ole wenu ikiwa ccm ni lango la mkuu wa Giza ! Mtaukumbuka ujumbe huu baada uchaguzi mungu atawararua vibaya sana ,na mkono wake hautakuwa na huruma juu yenu !Amina
Hamna viongozi wa dini hapo au waimbaji wa nyimbo za dini hapo

Hao ni wachumia tumbo na machawa wa chama dola
 
Hao wachungaji na waimbaji injili nawaona kama wapuuzi fulani hivi, wamepoteza credit kwa kushiriki abrakadabra za kisiasa. Mahubiri na nyimbo zao hakuna upako tena. Ni kundi moja na wanasiasa wasimdhihaki Mungu
 
Kuna mwimba injili mmoja yeye anautaka kabisa ubunge wa viti maalumu, anashiriki sana shughuli za chama na serikali huenda wakamuingiza kundini na kupata huo ubunge. Mpaka mitume na manabii walikuwepo kwenye sherehe za chama badala ya kwenda kutabiri na kufanya shughuli za kitume wakaenda kwenye abrakadabra za kisiasa
 
Hao wachungaji na waimbaji injili nawaona kama wapuuzi fulani hivi, wamepoteza credit kwa kushiriki abrakadabra za kisiasa. Mahubiri na nyimbo zao hakuna upako tena. Ni kundi moja na wanasiasa wasimdhihaki Mungu
Ni hofu ya kuuwawa na mfalme sanekarebu
 
Hao wachungaji na waimbaji injili nawaona kama wapuuzi fulani hivi, wamepoteza credit kwa kushiriki abrakadabra za kisiasa. Mahubiri na nyimbo zao hakuna upako tena. Ni kundi moja na wanasiasa wasimdhihaki Mungu
Naogopa tunakoelekea maaskofu watavaa skafu za ccm madhabahunin
 
Tofautisha Serikali na chama,

Tenganisha maslahi ya Serikali na maslahi ya chama tawala,

Mwisho ujue KAZI ya walinzi wa Nchi na Serikali katika Ulimwengu wa Roho.

Abwene Mwasongwe ni mlinzi wa Nchi katika zamu yake, hao wengine uliowataja malizana nao.
Ambwene ni mlinzi kivipi ndugu fafanua
 
Du!! Chama ndio kinaendesha serikali na hakuna serikali bila chama
 
Kwanza hao waimba injili waliohudhuria wote wale wana ushuhuda mbaya juu ya maisha yao ya ndoa kama kielelezo chema kwa wanaowaimbia/kuwahubiria. Ni kama wahuni fulani hivi wasiokuwa na maadili kwa kile wanachokiimba. Labda waimbe kibiashara tu na si kwa uinjilishaji
 
Ambwene ni mlinzi kivipi ndugu fafanua
Kila Nchi inao walinzi wa Kila zamu kulinda malango katika Ulimwengu wa Roho Ule wa Giza na wa Nuru.

Abwene Mwasongwe ni MMOJA wa walinzi wa Nchi katika Ulimwengu wa Roho wa Nuru.

Nchi ikiwa salama ni jambo muhimu, Hawa CCM ikiwa hamuwapendi ,waondoeni wekeni wengine kikatiba kama ambavyo mmewahi chagua wa unge wa upinzani lakini Nchi ikiendelea kustawi.
 
Du!! Chama ndio kinaendesha serikali na hakuna serikali bila chama
Kwa kuwa hakuna ubishi kuwa CCM ndio inaongoza Serikali Kwa sasa,

KAZI ya walinzi wa Nchi Iko pale pale Hadi pale mtakapoamua kuwaondosha CCM na kuweka chama kingine kuongoza Nchi.
 
Leo wamama wanapewa 50k kwenda uwanjani hizi pesa zinatoka wapi na magari waliyo kodi kusomba watu ni hatari asee
 
Back
Top Bottom