Hamna viongozi wa dini hapo au waimbaji wa nyimbo za dini hapoMungu ni Alfa na omega ! Sijui ikiwa ccm ni lango la ufalme wa mbinguni wanaheri wanaoikimbilia ! Ole wenu ikiwa ccm ni lango la kuzimu nisawa na kumwabudu mfalme sanekarebu kwa kuogopa kuuwawa!! Nimemuona ambwene mwasongwe ,nimemuona ,bella kombo ,Christina shusho ,martha mwaipaja ,askofu Anthony lusekelo !kuhani musa ,Boniface mwamposa na maaskofu lukuki ni jambo jema ikiwa ccm imesimama kwa mkono wa mungu lakini ole wenu ikiwa ccm ni lango la mkuu wa Giza ! Mtaukumbuka ujumbe huu baada uchaguzi mungu atawararua vibaya sana ,na mkono wake hautakuwa na huruma juu yenu !Amina
Ni hofu ya kuuwawa na mfalme sanekarebuHao wachungaji na waimbaji injili nawaona kama wapuuzi fulani hivi, wamepoteza credit kwa kushiriki abrakadabra za kisiasa. Mahubiri na nyimbo zao hakuna upako tena. Ni kundi moja na wanasiasa wasimdhihaki Mungu
Naogopa tunakoelekea maaskofu watavaa skafu za ccm madhabahuninHao wachungaji na waimbaji injili nawaona kama wapuuzi fulani hivi, wamepoteza credit kwa kushiriki abrakadabra za kisiasa. Mahubiri na nyimbo zao hakuna upako tena. Ni kundi moja na wanasiasa wasimdhihaki Mungu
Ambwene ni mlinzi kivipi ndugu fafanuaTofautisha Serikali na chama,
Tenganisha maslahi ya Serikali na maslahi ya chama tawala,
Mwisho ujue KAZI ya walinzi wa Nchi na Serikali katika Ulimwengu wa Roho.
Abwene Mwasongwe ni mlinzi wa Nchi katika zamu yake, hao wengine uliowataja malizana nao.
Du!! Chama ndio kinaendesha serikali na hakuna serikali bila chamaTofautisha Serikali na chama,
Tenganisha maslahi ya Serikali na maslahi ya chama tawala,
Mwisho ujue KAZI ya walinzi wa Nchi na Serikali katika Ulimwengu wa Roho.
Abwene Mwasongwe ni mlinzi wa Nchi katika zamu yake, hao wengine uliowataja malizana nao.
Kila Nchi inao walinzi wa Kila zamu kulinda malango katika Ulimwengu wa Roho Ule wa Giza na wa Nuru.Ambwene ni mlinzi kivipi ndugu fafanua
Kwa kuwa hakuna ubishi kuwa CCM ndio inaongoza Serikali Kwa sasa,Du!! Chama ndio kinaendesha serikali na hakuna serikali bila chama