Habari wana jf! Nina mdogo wangu yaani zikifika zile tarehe zao huwa anatusumbuasana, yaani sindano za pain killer , hadi drip za pain killler na sometime kulazwa,ila zikipita anapona kabsaa. Je kuna tiba mbadala ya kuzuia hayo maumivu? Maana hosp wanasema hakuna dawa