Ni vyakula gani vitasaidia kupunguza gesi tumboni?
Unaumwa hali ya ugonjwa unaoitwa hyperacidity ambao ni dalili kati ya magonJwa haya hapa
1.PUD(peptic ulcer disease)-naomba u google utapata info zaid
2.Gastritis(google)
Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
Mbona mwanitisha
Ni vyakula gani vitasaidia kupunguza gesi tumboni?
Hiyo shomari ni nini tafadhari?Dawa ya kuondosha tumbo kujaa Gesi fanya hivi:
(1)Chukua dawa inayoitwa shomari ujazo wa kijiko kimoja ioshe halafu uwe unatafuna kama karanga
(2) Tafuna punje moja ya kitunguu Saumu asubuhi mchana na usiku utapona.
(3) Kunywa maji ya uvuguvugu kila siku Asubuhi kabla ya kula kitu glasi 3 na mchana glasi 2 kabla ya kula kitu na usiku glasi 2 kabla ya kula kitu na usiku wakati wakulala kunywa Maji ya uvuguvugu glasi ya Maji kwa muda wa siku 7 kisha njoo hapa utueleze je bado unayo Gesi ya tumbo?
Shomari kapombeHiyo shomari ni nini tafadhari?