Aache kula chips kitimoto bia halafu awe anafanya mazoezi ya mwili.ili ku burn mafuta halafu awe anajitahidi kunywa maji ya vuguvugu akiweza akamulie limao tumbo litakuwa flat
Upumbavu huwa sipendi,toa tabia zako za kitoto za fb huku.
Mods hawa watu wa tabia hii tunataka hatua ziwe zinachukuliwa,sii kitu cha kukifumbia macho hiki.Jf inaharibiwa kwa mambo kama haya,ndo maana kumewekwa majukwaa tofauti ili watu waweze kubadilishana mawazo na si upuuzi wa kujibu watu ovyo.