Tumbo limekataa

Z kama Z

Member
Joined
Jul 6, 2011
Posts
60
Reaction score
10
Habari ya ss wapendwa napenda kuomba msaada juu ya hili kwa yyte anaye fahamu ni miezi mnne ss tangu wafi ajifungue but tangu kajifungu tumejaribu kufunga tumbo nimenunua mkanda lakini naona bado tumbo halitaki kuisha
so kwa anaefahamu dawa au hw i can do to finish anisaidi .maanake haliko pouwa sana ingawa limeisha kimtindo lakini bado sio navyotaka.
Please msaada wenu unaitajika sana
 
Anywe maji ya vuguvugu glass moja kubwa kila baada ya masaa mawili tangu anapoamka asubuhi hadi saa ya kulala usiku.

 

Mkuu ni mazoea kwa akinamama kufunga tumbo baada ya kujifungua wakiamini inasaidia kulirudisha kama lilivyokuwa kabla ya kujifungua. Ujauzito hufanya misuli na ngozi ya tumbo kutanuka ili kutoa nafasi ya nyumba ya uzazi inayokuwa. Mara baada ya kujifungua misuli ya tumbo na ngozi hupungua ukubwa wake lakini ni vigumu kurudi kama ilivyokuwa mwanzo. Na kadiri idadi ya mimba zinavyoongezeka ndivyo misuli ya tumbo nayo inavyoshindwa kabisa kurudi hali yake ya mwanzo. Kufunga kamba na mikanda haisaidii. Ikubali hali hiyo.
 
sio kweli.mbona wengine wana watoto mpaka 3 lakini matumbo yao huwa flat?mimi naamini mazoezi yanasaidia kupunguza tumbo.ila saa nyengine sehemu ya tumbo inakuwa stretch.inatakiwa unapojifungua tu,baada kama ya 6 weeks,unaanza mazoezi{kama umezaa kawaida},inasaidia kiasi fulani tumbo kupungua
 

Ile level ya ku-win life bongo naona mpaka hapo utakuwa umekamilisha i.e. Gari la mtumba, nyumba na mwanamke mnene!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…