heartbeats
JF-Expert Member
- Feb 10, 2014
- 6,736
- 10,669
duh alikula samaki wa nangurukuru na maziwa nn?
ivo ivo kama ulikuwepo
Kwanza huruhusiwi kula Samaki pamoja na maziwa au kunywa maziwa na kula pamoja na mayai utadhurika. Mkuu godimpare Mwambie atengeneze juisi ya machungwa anywe itamsaidia kuzuia kuharisha au maji ya kusafisha mchele pia yata msaidia kuzuia kuharisha auguwe pole.kuna ndugu hapa anaharisha sana amekula jana maziwa pamoja na samaki analalamika tumbo na pia anatapika atumie kitu gani apone maana nasikia maziwa na samaki ni mchanganyiko mbaya sasa nahisi umemfanyizia
Kwanza huruhusiwi kula Samaki pamoja na maziwa au kunywa maziwa na kula pamoja na mayai utadhurika. Mkuu godimpare Mwambie atengeneze juisi ya machungwa anywe itamsaidia kuzuia kuharisha au maji ya kusafisha mchele pia yata msaidia kuzuia kuharisha auguwe pole.