Herbalist Dr MziziMkavu
JF-Expert Member
- Feb 3, 2009
- 42,872
- 34,363
Ndio wanakosea chai ya maziwa huwezi kula pamoja na mayai ya kukaanga au mayai ya kuchemsha utakuja kudhurika baadae sio wakati ule ule unaokula Mwana kinyongaMzizi..
Wale wanaokunywa chai ya maziwa na mayai, yawe ya kuchemsha au kukaanga wanakosea.!!?
Endelea tu kula hivyo unavyo kula unaweza kupatwa ugonjwa wa ukoma siku za mbele au ukazaa mtoto mwenye ugonjwa wa ukoma Mkuu Jimena jihadhari sana kula maziwa na hapo hapo ukala mayai au kula samaki kisha ukala mayai hapo hapo au kula kula maziwa mayaina samaki kwa wakati mmoja unaweza kupatwa an ugonjwa ambao usioweza kutibika Mahospitalini Shauri yako. Ni uchaguzi wako mimi simo.Mi huwa nakunywa maziwa fresh na mayai ( boiled, Spanish omelet ama pishi lolote lile)
Nikiwa najaribu kuconsive huwa nakula sana samaki hasa salmon na kwa vile sinywi pombe wakati huo huwa nakunywa maziwa au juice sijawahi kupata tatizo lolote la tumbo.
Naomba ufafanuzi wako mkuu ubaya wake nini?
Au tatizo hilo sio kwa watu wote???
Endelea tu kula hivyo unavyo kula unaweza kupatwa ugonjwa wa ukoma siku za mbele au ukazaa mtoto mwenye ugonjwa wa ukoma Mkuu Jimena jihadhari sana kula maziwa na hapo hapo ukala mayai au kula samaki kisha ukala mayai hapo hapo au kula kula maziwa mayaina samaki kwa wakati mmoja unaweza kupatwa an ugonjwa ambao usioweza kutibika Mahospitalini Shauri yako. Ni uchaguzi wako mimi simo.
Ninao ushahidi ningekupa lakini wewe unavyopinga Sitoweza kukuapa faida bora wangepatikana watu kama nyinyi watu 100 wapingaji ingelikuwa ni vizuri Wauza madawa wa Pharmacy wapate wateja wengi mupate kuumwa watu wengi na ikishindikana kutibiwa kwa Dawa za sumu za Hospitali muje mututafute na Sisi wataalam wa mitishamba tupate pesa zenu asante sana. Endelea kunywa Maziwa na Mayai kwa pamoja faida yake utaiona muda sio mrefu. Bibie JimenaHamna kitu kama hicho. Ingekuwa hivyo kwetu wote tungekuwa na matatizo hayo ya Ukoma n.k
Hizo ni imani tu, mi nilidhani una ushahidi.
Shukrani sana anyway
Dawaya kutibu Maradhiya Kipindupindu ipo mkuu Warren.TSasa kama ni kipindupindu humu JF utapata tiba mkuu????
Mwambie aweke kibunzi