Tumbo linaninguruma hata kama nikiwa nimeshiba, nahisi ni minyoo, ntumie dawa gani? itansadia.

Edwin mkw

JF-Expert Member
Joined
Apr 28, 2014
Posts
544
Reaction score
119
Kama title inavyosema ,tumbo lnanguruma hata kama nmetoka kula muda huo,nahsi n minyoo dawa gan nzur itaondoa tatzo langu. " thanks "
 
Kama title inavyosema ,tumbo lnanguruma hata kama nmetoka kula muda huo,nahsi n minyoo dawa gan nzur itaondoa tatzo langu. " thanks "

Hiyo itakuwa amoeba..ila kwa uhakika zaidi nenda pharmacy ikishindikana nenda hospitali.
 
Weweeee hiyo siyo minyoo,haraka kaangalie kwa mafundi,inawezekana umetupiwa kitu au umekula cha haramu kama vile kuku aliyeibwa fanya haraka.mafundi kibao mbagala na kigogo
 
Kama title inavyosema ,tumbo lnanguruma hata kama nmetoka kula muda huo,nahsi n minyoo dawa gan nzur itaondoa tatzo langu. " thanks "

Muone daktari kwa ushauri na tiba.

Sio kila tumbo ni minyoo.
 
Hiyo itakuwa amoeba..ila kwa uhakika zaidi nenda pharmacy ikishindikana nenda hospitali.

du...yaani aanzie pharmacy ikishindikani ndo aende hospital...enyi watu ni nani aliye waroga hata mkafikiria hii njia ya mkato!!hebu mwambie afanye kinyume ya ulivyomshauri mwanzo!!
 
Nunua asali mbichi na unga wa mdalasini pamoja na unga wa tangawizi. Changanya uwiano kama ifuatavyo: chukua nusu kijiko unga wa tangawizi, Vijiko viwili unga wa mdalasini na asali vijiko vitatu. Changanya mkorogo huo vizuri na uwe unalamba kila siku kadiri unavyoweza muda mchache kabla ya kulala usiku. Utagundua kuwa baada ya kula huu mkorogo kutakua na milipuko ya hapa na pale namaanisha pyuuuuuuu! kwa sana.
Tumia Kijiko kikubwa katika vipimo na uwiano kama hapo juu, hakikisha unapata asali mbichi, mdalasini uwe ya India na tangawizi safi
Fanya hivyo ndani ya siku saba na tatizo lako litakuwa limekwisha.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…