mikumiyetu JF-Expert Member Joined Aug 16, 2016 Posts 1,312 Reaction score 944 Dec 21, 2017 #1 Habari za asubuhi wakuu naomba ushauri kipimo gani nikapime kinaweza nipa majibu mazuri kujua kilicho ndani ya tumbo langu kinachonitesa,nishapima choo mara kibao sio afadhari
Habari za asubuhi wakuu naomba ushauri kipimo gani nikapime kinaweza nipa majibu mazuri kujua kilicho ndani ya tumbo langu kinachonitesa,nishapima choo mara kibao sio afadhari
Sky Eclat JF-Expert Member Joined Oct 17, 2012 Posts 57,761 Reaction score 216,011 Dec 21, 2017 #2 Ongea na daktari wako ufanyiwe colonoscopy na endoscopy.