Habar ndg zangu ....naombeni Msaada kwa anae jua tiba kwa tatizo ninalo pata,,, mm kila nikimaliza kufanya tendo la ndoa na mume wangu tumbo huwa linaniuma kwa muda Kama Dk 10 au robo saa ivi alafu ndio linatulia ,sijajua nn tatizo kwa anaejua tafadhali anisaidie jamani..