Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Siku mbili za mwanzoni niliharisha, saiv siharishi ila linauma
Wali maharage, samaki na kabegi, ila asubuhi nilianza vitunguu swaumu, chai yenye ndimu na asali
Wakuu juzi nipo job, nimekula lunch tumbo likaanza kusumbua, nimepima nimeambiwa ni infection, nikapewa Dawa, hadi Leo sijapona.Tumbo linauma na limejaa gesi, tatizo linaweza kuwa nini.
Msaada wenu
Pole mkuu
Usisite kufanya vipimo vya U.T.IWakuu juzi nipo job, nimekula lunch tumbo likaanza kusumbua, nimepima nimeambiwa ni infection, nikapewa Dawa, hadi Leo sijapona.Tumbo linauma na limejaa gesi, tatizo linaweza kuwa nini.
Msaada wenu
Nimefanya mara mbili, ila hakuna tatizo.Leo naenda kufanya tena ntaleta mrejeshoUsisite kufanya vipimo vya U.T.I