Tumbo linasumbua

onyx

JF-Expert Member
Joined
Mar 17, 2016
Posts
1,587
Reaction score
1,316
Wakuu juzi nipo job, nimekula lunch tumbo likaanza kusumbua, nimepima nimeambiwa ni infection, nikapewa Dawa, hadi Leo sijapona.Tumbo linauma na limejaa gesi, tatizo linaweza kuwa nini.

Msaada wenu
 
Siku mbili za mwanzoni niliharisha, saiv siharishi ila linauma
 
Wali maharage, samaki na kabegi, ila asubuhi nilianza vitunguu swaumu, chai yenye ndimu na asali
 
Nenda hospital haraka sana. Katika vitu ambavyo siyo vya kuvifanyia masihara ni maumivu ya tumbo.
 
Wali maharage, samaki na kabegi, ila asubuhi nilianza vitunguu swaumu, chai yenye ndimu na asali

Dah! Huo mchanganyo nimeukubali.

Wahi hospitali mkuu.
 
Poa mkuu ntaenda jumatatu
 
P
Wakuu juzi nipo job, nimekula lunch tumbo likaanza kusumbua, nimepima nimeambiwa ni infection, nikapewa Dawa, hadi Leo sijapona.Tumbo linauma na limejaa gesi, tatizo linaweza kuwa nini.

Msaada wenu
Pole mkuu
 
Usisite kufanya vipimo vya U.T.I
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…