Salaam ndugu zangu,
nimeona niandike ili kupata maelezo kutoka kwa wale wanaofahamu.
Nimeona kuna wakati ninapokunywa maji mengi tumbo linajaa (kwa nje linaonekana limeongezeka) na huwa inaninyima raha.
Je, yaweza kusababishwa na nini?
Asante
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.