Tumbo na maji

samtot

JF-Expert Member
Joined
Sep 18, 2013
Posts
258
Reaction score
148
Salaam ndugu zangu,
nimeona niandike ili kupata maelezo kutoka kwa wale wanaofahamu.
Nimeona kuna wakati ninapokunywa maji mengi tumbo linajaa (kwa nje linaonekana limeongezeka) na huwa inaninyima raha.
Je, yaweza kusababishwa na nini?
Asante
 
Inasababishwa na kunywa maji mengi.....
Hasa pale unapokunywa kwa wakati mmoja....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…