Naombeni msaada wenu. Chini ya tumbo langu mkono wa kushoto nasikia kama kitu kinatetemeka/kucheza hivi hakiumi wala nini lakini pia sijui jinsi ya kukielezea kwa ufasaha lakini kinakuja na kuondoka. Je linaweza kuwa tatizo au? Maana kuna muda mwingine kinacheza sana.
Bebz Pole sana. Ingekuwa upande wa kulia yamkini ingewezakuwa ni kidole tumbo. Ushauri wangu ni wahi hosipitali mapema. Ukichelewa, tatizo linaweza kuwa kubwa zaidi.