Pre GE2025 Tumbua Tumbua hazijawahi kuwa na tija kwa Taifa, Watanzania kuweni makini

Pre GE2025 Tumbua Tumbua hazijawahi kuwa na tija kwa Taifa, Watanzania kuweni makini

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)

Megalodon

JF-Expert Member
Joined
Apr 9, 2021
Posts
3,534
Reaction score
7,866
Ni lini tumbua tumbua zilibadilisha hali ya Taifa? Zaidi ya watu wenye chuki na hao viongozi kuwa na furaha.

Hakuna proper procedures na vetting katika uteuzi, hivyo hata tenguzi tenguzi hazina tija wala manufaa kwa taïfa.

Ogopa matapeli, ni kipindi cha uchaguzi, huwa wanaangalia ni kitu gani ambacho jamii inatamani kusikia au kukiona kinafanyika, jamaa wanatembelea humo humo.

Ifike mahali Watanzania muamke na muwe na akil, hizi mind games muwe na uwezo wa kuzielewa by far!

All in all, Namuheshimu Rais wa JMT, Dkt. Samia kama mama au mzazi; however, sijawahi,! Sitawahi na sitokuja kuwahi KUAMINI kuwa ataleta mabadiliko yoyote kwenye taifa yatakayo kwenda kuwagusa wa Tanzania.

She is not going to do anything special, atafanya kama walivyofanya watangulizi wake, period.

Tanzania needs “brained” president to make things happen.

La Mwisho, January Makamba, njia inatoa….. all the best !
 
Back
Top Bottom