Jamaa alikuwa na vipindi vilivyokuwa vinahusu utamaduni wetu, alikuwa na kipindi cha asilia salamu,tumbizo asilia, mkoa kwa mkoa yani hadi raha. Mwishoni alikuwa anapenda naye kupiga mluzi au utasikia akisema Katemboo ndio ngoma zinanza kuchezwa. Hadi raha.