Habari zenu wanajamvi!!!!
Nawalenga wenzangu mliopata nafasi kusomea course tofauti na chaguo la kwanza. Najua wengi wapo disappointed na hili kwa sababu ya malengo walojiwekea kwa muda mrefu. Ndugu zangu msisononeke kwa hili kwan ndo kwanza ngoma bado mbichi kabisa, accept it na msipoteze muda kuwaza eti kesho itakuaje?! kesho itajijua tazama leo! Angalia mchakato wa kwenda chuo na sio ajira sasa issue ya ajira baadae coz hiyo ni matokeo.
Nawsilisha.