Jiqndae kupiga kuraInaumiza sana mnamuomba Mungu na maitifaki KIBAO ya kibinadamu na mavyama ya uongo kabisa ambayo hata hatuyajui halafu mnajua chadema mnayoiogopa mmeipiga Pini na mnajua hayo mavyama ni rubber stamp yenu na Chadema ikiingia mtaiba kura Yani nyie basi tu.