Pre GE2025 Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi yatangaza kufanya uboreshaji wa daftari mkoani Tanga kuanzia Februari 13, 2025

Pre GE2025 Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi yatangaza kufanya uboreshaji wa daftari mkoani Tanga kuanzia Februari 13, 2025

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)

Mindyou

JF-Expert Member
Joined
Sep 2, 2024
Posts
1,869
Reaction score
4,877
Mwenyekiti wa Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi, Jaji Jacobs Mwambegele, leo Februari 07, 2025, amekagua mafunzo ya maafisa waandikishaji wasaidizi kutoka Jiji la Tanga na Wilaya ya Muheza, akibaini maandalizi yao kwa zoezi la Uboreshaji wa Daftari la Kudumu la Wapiga Kura.

Mafunzo hayo ni maandalizi ya zoezi la Uboreshaji wa Daftari la Kudumu la Wapiga Kura linalotarajiwa kufanyika katika mikoa ya Tanga na Pwani kuanzia Februari 13 hadi 19,2025.

Jaji Mwambegele amewasisitiza juu ya ushirikishwaji wa wadau wakiwemo wa vyama vya siasa katika kufanikisha zoezi hilo.

tbc_online_1738942039292.jpeg

Source: TBC Online
 
Ni heri wangeelekeza tu hizo fedha kwenye shughuli nyingine za maendeleo maana hayo ni maigizo tu wanafanya tena kwa kodi za Wananchi.

Watu weusi tulilaaniwa. Hapo inajifanya ipo serious wakati imeshajipanga kura za urais na wabunge watazigawaje.

Sithole country hii.
 
Hiyo ndio huduma pekee ya bure iliyobaki kwenye nchi hii, na ni ya bure ili wachaguliwe waendelee kula.
 
Hawana Lolote hao wanapoteza tu fedha za walipa Kodi, Tanzania hamnaga uchaguzi Kuna Uchafuzi
Mwenyekiti wa Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi, Jaji Jacobs Mwambegele, leo Februari 07, 2025, amekagua mafunzo ya maafisa waandikishaji wasaidizi kutoka Jiji la Tanga na Wilaya ya Muheza, akibaini maandalizi yao kwa zoezi la Uboreshaji wa Daftari la Kudumu la Wapiga Kura.

Mafunzo hayo ni maandalizi ya zoezi la Uboreshaji wa Daftari la Kudumu la Wapiga Kura linalotarajiwa kufanyika katika mikoa ya Tanga na Pwani kuanzia Februari 13 hadi 19,2025.

Jaji Mwambegele amewasisitiza juu ya ushirikishwaji wa wadau wakiwemo wa vyama vya siasa katika kufanikisha zoezi hilo.

View attachment 3227962

Source: TBC Online
 
Mwenyekiti wa Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi, Jaji Jacobs Mwambegele,
Kumbe hii tume inaongozwa na Jaji kabisa? Yaani Judge kabisa? Elimu haina maana kabisa siku hizi. Njaa mbaya sana sana
 
Back
Top Bottom