tume huru ya uchaguzi na madaraka ya rais

tume huru ya uchaguzi na madaraka ya rais

NAMTUMBA

JF-Expert Member
Joined
Feb 20, 2014
Posts
1,939
Reaction score
597
1.wana Jf naomba wataalamu wa masuala ya kisiasa especially uchaguzi; kunafaida gani na hasara gani kwa kutokuwa na tume huru ya uchaguzi?
2.kwanini katiba mpya haizungumzii time guru ya uchaguzi? Kuna siri gani hapa iliyojificha?
3.kwanini katiba mpya haizungumzii kuhusu kupunguzwa kwa madaraka ya rais?
naomba ufafanuzi kwa manufaa ya Tanzania ijayo. ushabiki wa vyama wekeni kando.
 
Back
Top Bottom