johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Tume Huru ya Uchaguzi duniani kote ina majukumu mengi sana, chaguzi za kisiasa ni sehemu ndogo tu ya majukumu yake.
Huko duniani Tume Huru huombwa kusimamia hata chaguzi za viongozi wa dini na chaguzi za viongozi wa wanafunzi vyuoni.
Kenya kwa mfano hata uchaguzi wa viongozi wa chama cha wanasheria husimamiwa na Tume Huru.
Ni mtu mwenye ubongo bila akili ndio atafikiria Tume huru ya uchaguzi ni ya wanasiasa hivyo inaweza kuanzishwa hata na walevi tu wakiwa pale Chako ni Chako.
Maendeleo hayana vyama!