johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Zitto ni mamluki na genge lake la matapeli akina NondoTume Huru ya Uchaguzi duniani kote ina majukumu mengi sana, chaguzi za kisiasa ni sehemu ndogo tu ya majukumu yake.
Huko duniani Tume Huru huombwa kusimamia hata chaguzi za viongozi wa dini na chaguzi za viongozi wa wanafunzi vyuoni.
Kenya kwa mfano hata uchaguzi wa viongozi wa chama cha wanasheria husimamiwa na Tume Huru.
Ni mtu mwenye ubongo bila akili ndio atafikiria Tume huru ya uchaguzi ni ya wanasiasa hivyo inaweza kuanzishwa hata na walevi tu wakiwa pale Chako ni Chako.
Maendeleo hayana vyama!
GoodTume huru ya uchaguzi lazima misingi yake ijengwe kwenye katiba mpya, huo ndo ukweli hata kama ni mchungu kwa amaleki na wengineo.............
Ameshapewa mpunga wakeZitto anataka kujenga ghorofa angani.
Zitto ni tapeliKinacho nishangaza mimi kwanini kama Zitto anapambana na wale wanaodai katiba mpya? kama yeye anadai tume huru si aendelee kudai na wanaodai katiba mpya waendelee kudai.
Kwani tatizo liko wapi?
WENYE AKILI KUBWA TUNATAKA KATIBA MPYA KWANZATume Huru ya Uchaguzi duniani kote ina majukumu mengi sana, chaguzi za kisiasa ni sehemu ndogo tu ya majukumu yake.
Huko duniani Tume Huru huombwa kusimamia hata chaguzi za viongozi wa dini na chaguzi za viongozi wa wanafunzi vyuoni.
Kenya kwa mfano hata uchaguzi wa viongozi wa chama cha wanasheria husimamiwa na Tume Huru.
Ni mtu mwenye ubongo bila akili ndio atafikiria Tume huru ya uchaguzi ni ya wanasiasa hivyo inaweza kuanzishwa hata na walevi tu wakiwa pale Chako ni Chako.
Maendeleo hayana vyama!
Umenena vema kabisa bwashee!Kinacho nishangaza mimi kwanini kama Zitto anapambana na wale wanaodai katiba mpya? kama yeye anadai tume huru si aendelee kudai na wanaodai katiba mpya waendelee kudai.
Kwani tatizo liko wapi?
Anadhani yeye ana ubongo kupita wapemba wote!Zitto ni tapeli
2025 ACT inaenda kuwa TLPAnadhani yeye ana ubongo kupita wapemba wote!
Madini haya yanafuatia baada ya Tanzanite kugunduliwa na kuchimbwa kule Mirerani.Tume Huru ya Uchaguzi duniani kote ina majukumu mengi sana, chaguzi za kisiasa ni sehemu ndogo tu ya majukumu yake.
Huko duniani Tume Huru huombwa kusimamia hata chaguzi za viongozi wa dini na chaguzi za viongozi wa wanafunzi vyuoni.
Kenya kwa mfano hata uchaguzi wa viongozi wa chama cha wanasheria husimamiwa na Tume Huru.
Ni mtu mwenye ubongo bila akili ndio atafikiria Tume huru ya uchaguzi ni ya wanasiasa hivyo inaweza kuanzishwa hata na walevi tu wakiwa pale Chako ni Chako.
Maendeleo hayana vyama!
Kama Samia angekua nchi nyingine amesoma na kuelimika, akatazama alivyokua kiongozi kwenye kamati za katiba mpya, na nafasi aliopata sasa ya kuwa Rais wa nchi. Na akaangalia miaka mia mbele, hii nchi ingekua na historia za viongozi wa heshima wawili tu.Tume huru ya uchaguzi lazima misingi yake ijengwe kwenye katiba mpya, huo ndo ukweli hata kama ni mchungu kwa amaleki na wengineo.............
Watasema auna ubongo..!Tume Huru ya Uchaguzi duniani kote ina majukumu mengi sana, chaguzi za kisiasa ni sehemu ndogo tu ya majukumu yake.
Huko duniani Tume Huru huombwa kusimamia hata chaguzi za viongozi wa dini na chaguzi za viongozi wa wanafunzi vyuoni.
Kenya kwa mfano hata uchaguzi wa viongozi wa chama cha wanasheria husimamiwa na Tume Huru.
Ni mtu mwenye ubongo bila akili ndio atafikiria Tume huru ya uchaguzi ni ya wanasiasa hivyo inaweza kuanzishwa hata na walevi tu wakiwa pale Chako ni Chako.
Maendeleo hayana vyama!
Rais wa Zambia atabeba hiyo soonKama Samia angekua nchi nyingine amesoma na kuelimika, akatazama alivyokua kiongozi kwenye kamati za katiba mpya, na nafasi aliopata sasa ya kuwa Rais wa nchi. Na akaangalia miaka mia mbele, hii nchi ingekua na historia za viongozi wa heshima wawili tu.
Nyerere kuleta Uhuru na Umoja , na Samia Rais mwanamke alietuletea katiba mpya na bora.
Na kuna tunzo zile za heshima za Afrika kwa kiongozi alieheshimu demokrasia Afrika. Muda sasa hazijapata mshindi , Samia angebeba.
Lakini ndio hivyo tena Nchi imejamba hii, na viongozi wetu ndio hao kina Majaliwa waongo waongo na matapeli ndio washauli wa Samia.
Ukiona hivyo ujue hajalipwa posho yake ya wiki iliyopita, subiri alipwe anarudi kulekuleMadini haya yanafuatia baada ya Tanzanite kugunduliwa na kuchimbwa kule Mirerani.
Tatizo Zitto ni mzito kwa hoja zake tofauti na hao wanaotaka katiba mpya Bila ya kuwa na uzito wa hoja ya tunaifikia vipi hiyo katiba mpyaKinacho nishangaza mimi kwanini kama Zitto anapambana na wale wanaodai katiba mpya? kama yeye anadai tume huru si aendelee kudai na wanaodai katiba mpya waendelee kudai.
Kwani tatizo liko wapi?