Unahisi umeandika kama mtu mwenye akili au kama kijana wa kiume anayeishi kwa dadaake aliyeolewa?Inayoitwa tume huru ya uchaguzi inatuona sisi ndezi!
Yaani eti kati ya vitu vyote vya kuweka uwanja sawa kwa wagombea imeona kugawa magari ndiyo njia mwafaka! Kwa nini inapata kigugumizi kuamua kwenye reforms za uchaguzi?
Sisi tunalia na DEDs kiwa wasimamizi wa uchaguzi mbona haisikii? Kama kuweka uwanja sawa kwa nini wengine wamefungwa mikono na miguu?View attachment 3455234
Mods acheni hizo! Mimi sijasema kwenye heading yangu kwamba ni "tume huru"Inayoitwa tume huru ya uchaguzi inatuona sisi ndezi!
Yaani eti kati ya vitu vyote vya kuweka uwanja sawa kwa wagombea imeona kugawa magari ndiyo njia mwafaka! Kwa nini inapata kigugumizi kuamua kwenye reforms za uchaguzi?
Sisi tunalia na DEDs kiwa wasimamizi wa uchaguzi mbona haisikii? Kama kuweka uwanja sawa kwa nini wengine wamefungwa mikono na miguu?View attachment 3455234
Aaah shida tupuNashangaa mpaka sasa! Hivi ni kitu gani imefanya mpaka iitwe tume huru?
Mutoto ya shule punguza ukada na uchawaUnahisi umeandika kama mtu mwenye akili au kama kijana wa kiume anayeishi kwa dadaake aliyeolewa?
Ok. Mimi mamangu alifariki mwaka 1996. Wewe mamaako yupo hai. Unajua Mimi nipo nafanya nini na mamaako sasa hivi? Ahahahahaha!!Niliandika wakati niko kwenye kinena cha mamako!
Wewe hauna uchawa?Mutoto ya shule punguza ukada na uchawa
Ninao uzalendo pekee,unapopatikania mimi nipoWewe hauna uchawa?
Wewe ni mjinga flani tu.Ninao uzalendo pekee,unapopatikania mimi nipo
Ahahahahaha! Waingereza wana msemo, " to save the face"! Nimekuelewa. Ahahahahaha!!Wa kwangu alifariki '82 kajinga wewe!
Inayoitwa tume huru ya uchaguzi inatuona sisi ndezi!
Yaani eti kati ya vitu vyote vya kuweka uwanja sawa kwa wagombea imeona kugawa magari ndiyo njia mwafaka! Kwa nini inapata kigugumizi kuamua kwenye reforms za uchaguzi?
Sisi tunalia na DEDs kiwa wasimamizi wa uchaguzi mbona haisikii? Kama kuweka uwanja sawa kwa nini wengine wamefungwa mikono na miguu?View attachment 3455234
Hawa Tume wajinga na wapuuzi sana. Vyombo vya habari hawavipi hela ya maana wanaenda kugawa magari.