Tume inayosingiziwa kuwa huru inaenda kulazimisha uchaguzi usio huru uonekane huru.Inayoitwa tume huru ya uchaguzi inatuona sisi ndezi!
Yaani eti kati ya vitu vyote vya kuweka uwanja sawa kwa wagombea imeona kugawa magari ndiyo njia mwafaka! Kwa nini inapata kigugumizi kuamua kwenye reforms za uchaguzi?
Sisi tunalia na DEDs kiwa wasimamizi wa uchaguzi mbona haisikii? Kama kuweka uwanja sawa kwa nini wengine wamefungwa mikono na miguu?View attachment 3455234
Huwa ninachukizwa sana kuona wale wanaoitwa "wasomi" wanafanya mambo ya kipuuzi kama haya.Inayoitwa tume huru ya uchaguzi inatuona sisi ndezi!
Yaani eti kati ya vitu vyote vya kuweka uwanja sawa kwa wagombea imeona kugawa magari ndiyo njia mwafaka! Kwa nini inapata kigugumizi kuamua kwenye reforms za uchaguzi?
Sisi tunalia na DEDs kiwa wasimamizi wa uchaguzi mbona haisikii? Kama kuweka uwanja sawa kwa nini wengine wamefungwa mikono na miguu?View attachment 3455234
Huu ndiyo ujinga wenu waTanzania badala ya kujadili mambo muhimu yanayolisibu taifa mnajadiri huu ujinga!!Ok. Mimi mamangu alifariki mwaka 1996. Wewe mamaako yupo hai. Unajua Mimi nipo nafanya nini na mamaako sasa hivi? Ahahahahaha!!

Mimi ni muumini wa sera ya "An eye for an eye". Ukinijibu hovyo nakujibu hovyo. Ukileta utani, nafanya mzaha! Ahahahahaha!!Huu ndiyo ujinga wenu waTanzania badala ya kujadili mambo muhimu yanayolisibu taifa mnajadiri huu ujinga!!
Hivi vijana wa nchi hii ndio mnakuwa slow hivi kuelewa mambo? Kwanza Tume imegawa Magari kwa wagombea wote ili kuweka uwanja sawa wa Kampeni kwa wagombea wote manake sio wote wangeweza kufanya Kampeni kwa Tume imewapa gari na dereva na watawekewa na mafuta muda wote wa Kampeni. Jambo la DED's kusimamia Uchaguzi halipo Tena, tuwe tunafanya utafiti ndio tuandike, kwa style hii vijana wataendelea kudharauliwaInayoitwa tume huru ya uchaguzi inatuona sisi ndezi!
Yaani eti kati ya vitu vyote vya kuweka uwanja sawa kwa wagombea imeona kugawa magari ndiyo njia mwafaka! Kwa nini inapata kigugumizi kuamua kwenye reforms za uchaguzi?
Sisi tunalia na DEDs kiwa wasimamizi wa uchaguzi mbona haisikii? Kama kuweka uwanja sawa kwa nini wengine wamefungwa mikono na miguu?View attachment 3455234
Ila sii kama ya Mutoto ya shulee!Wewe ni mjinga flani tu.
Wewe ndilo lipuuzi! Unafikri hao wanaitwa wasimamizi wa uchaguzi wanatoka ofisi gani? Lini time iliajiri watu wa kusimamia uchaguzi? Ukisikia mtumishi wa umma anaenda kusimamia uchaguzi huyo yuko kwa DED! Unaweza kutueleza walioajiriwa kwa ajili hiyo?Hivi vijana wa nchi hii ndio mnakuwa slow hivi kuelewa mambo? Kwanza Tume imegawa Magari kwa wagombea wote ili kuweka uwanja sawa wa Kampeni kwa wagombea wote manake sio wote wangeweza kufanya Kampeni kwa Tume imewapa gari na dereva na watawekewa na mafuta muda wote wa Kampeni. Jambo la DED's kusimamia Uchaguzi halipo Tena, tuwe tunafanya utafiti ndio tuandike, kwa style hii vijana wataendelea kudharauliwa
Unawezaa itawamashinani.Ni chawa asiyekuwa na mafanikio! Atakuwa chawa wa mama kule chini!