Mzee Mwanakijiji
Platinum Member
- Mar 10, 2006
- 33,771
- 41,027
Tume iliahidi kuwa matokeo ya kura za Urais nayo yatatangazwa majimboni kabla ya kujumlishwa rasmi na tume na kutangazwa rasmi. Kwamba sasa wanataka wasimamizi wa majimbo wasitangaze hadi wapeleke taarifa NEC kutasababisha wasiwasi usio wa lazima. Tuache wananchi watoe sauti yao bila kuivuruga.
Ninawasihi sana tumeshapiga kura kwa amani, na watu leo wamesubiri kwa amani, tusitafute sababu ya kuwavuruga wananchi hasa matokeo ya uchaguzi yatakavyoonekana. Hamtaweza kabisa katika sayari hii kuelezea ushindi wa asilimia 80!
Liacheni litakalokuwa LIWE.
Tanzania itaendelea kuwepo.

Source mzee wangu; WE CAN
Hili suala hivi sasa lipo mikononi mwa raia na namna ya NEC kuchakachua haya matokeo hawawezi kwa sababu watu wanajumlisha kila kituo kwa hiyo waachie demokrasia ifuate mkondo wake........................vinginevyo fujo na vurugu zikitokea wao ndiyo watakuwa wawajibikaji wa kwanza.....................Ninawasihi sana tumeshapiga kura kwa amani, na watu leo wamesubiri kwa amani, tusitafute sababu ya kuwavuruga wananchi hasa matokeo ya uchaguzi yatakavyoonekana. Hamtaweza kabisa katika sayari hii kuelezea ushindi wa asilimia 80!
Liacheni litakalokuwa LIWE.
Tanzania itaendelea kuwepo.
CHADEMA fanyeni jitihada za kuwaweka hapa jamvini, msikae nayo huko; nguvu ya Umma inahitaji kujua ni nini kinaendelea; ili itakapokuwa kinyume tuhoji tukiwa na vigezo. Jamainiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii wekeni data hapa, au vipi?Nasikia sasa ni kuwa matokeo yote yanakuwepo katika kutangaza matokeo kwenye fomu zote lakini kwenye TV ndio hawatangazi lakini wawakilishi wa vyama wanapata matokeo yote hadi ya kura za Rais katika kila jimbo. Kwa hiyo sasa hivi Chadema wameanza kukusanya idadi hiyo kutoka majimbo ambayo tayari wameshashinda na mchuano ni kweli kati ya Slaa na Kikwete na mmoja wao anaongoza si kwa kura nyingi sana.
Nasikia sasa ni kuwa matokeo yote yanakuwepo katika kutangaza matokeo kwenye fomu zote lakini kwenye TV ndio hawatangazi lakini wawakilishi wa vyama wanapata matokeo yote hadi ya kura za Rais katika kila jimbo. Kwa hiyo sasa hivi Chadema wameanza kukusanya idadi hiyo kutoka majimbo ambayo tayari wameshashinda na mchuano ni kweli kati ya Slaa na Kikwete na mmoja wao anaongoza si kwa kura nyingi sana.