The Khoisan
Platinum Member
- Jun 5, 2007
- 18,900
- 18,751
Bado wanayapika matokeo yao, si rahisi kubalance kura hewa zaisi ya milioni 30
Maigizo ya kipuuzi tuNdiyo sababu nimeuliza .... yaani Maza kafanya maajabu ya mwaka. Yaani Rais wa nchi anajulikana kabla ya Diwani. This is very serious ......!!
Si waseme tu kuwa bunge nako CCM imeshinda kwa asilimia 98.Bado wanayapika matokeo yao, si rahisi kubalance kura hewa zaisi ya milioni 30
Si waseme tu kuwa bunge nako CCM imeshinda kwa asilimia 98.
Wala hakuna ugumu wowote hapo.
Wala hakuna haja ya kubalance.Itakuwa ni ajabu Rais apate 98 % halafu apate Wabunge 90 % .
Wako busy wanayabalance matokeo.
Wala hakuna haja ya kubalance.
Waseme tu wabunge wote ni wa CCM.
Mbona hiyo ni kazi rahisi tu. Wala haichukui muda mrefu hivyo maana ni kiasi cha kutamka mtu.Wanabalance kura siyo idadi ya Wabunge.
Kuna watu huhukumiwa kifungo cha maisha wao wakiwa na miaka 90. Miaka hata ishirini mbele au zaidi, waliofanya jinai watafikishwa mbele ya sheria.Uzuri Jinai haina haiozi