Jumla ni watu milioni 29.1Hivi watu wangapi wamejiandikisha kupiga kura ?
Ninakubaliana na serikali katika suala hili.Mkurugenzi wa tume ya Taifa ya uchaguzi upande wa huduma, Emmanuel Kawishe anaongelea mambo kadhaa kuelekea uchaguzi mkuu na amezungumzia gharama nyingi zilizotumika kutimiza azma ya mtanzania kupiga kura kama makaratasi, mafuta, kulipa watu wote wanaohusuka na mchakato wa upigaji kura na kadhalika...
Kupiga kura sio tatizo, tatizo ni kuhesabiwa kura yako. An ndio tunatumia uchaguzi kama njia moja ya Power Laundering (kutakatisha madaraka?Mkurugenzi wa tume ya Taifa ya uchaguzi upande wa huduma, Emmanuel Kawishe anaongelea mambo kadhaa kuelekea uchaguzi mkuu na amezungumzia gharama nyingi zilizotumika kutimiza azma ya mtanzania kupiga kura kama makaratasi, mafuta, kulipa watu wote wanaohusuka na mchakato wa upigaji kura na kadhalika...
'Ballot papers' karatasi za kupigia kura nani anazitengeneza?Mkurugenzi wa tume ya Taifa ya uchaguzi upande wa huduma, Emmanuel Kawishe anaongelea mambo kadhaa kuelekea uchaguzi mkuu na amezungumzia gharama nyingi zilizotumika kutimiza azma ya mtanzania kupiga kura kama makaratasi, mafuta, kulipa watu wote wanaohusuka na mchakato wa upigaji kura na kadhalika...
Ni haki na sio wajibuKupiga kura ni wajibu wetu sote watanzania. Tume pia muwe tayari kukubali matokeo na kumtangaza mshindi wa kura nyingi. Vinginevyo itaingiza nchi kwenye majaribu makubwa sana.