Muarubaini
JF-Expert Member
- Apr 7, 2012
- 222
- 48
acha hizo mkuu mimi mbona nimeshaitwa kwenye interview nying tu za utumishi! kuanzia april mpaka leo kama 5 hivimkuu huu ni ukweli mtupu. hizi zingine mbona hawatoi. hili nalo janga kwa watoto wa wakulima.
wewe ndugu yangu! sasa nimeanza kuelewa kwanini au pati kaziWanajua wakisha kutupa huku kijijin kata afisa mtendaji nd6 wamekumaliza. Mtu mfano umesoma accounting unaenda kuwa mtendaji kijiji, hiyo ni career assasination. Heri hata ufungue mpesa
wewe ndugu yangu! sasa nimeanza kuelewa kwanini au pati kazi
sasa ward excutive officer kwa accountant hakuna kitu kama hicho!labda ndo maana hawakuiti kwenye usahili
irrelevant qualification inakuharibia mkuu
acha hizo mkuu mimi mbona nimeshaitwa kwenye interview nying tu za utumishi! kuanzia april mpaka leo kama 5 hivi
au wewe uliomba ukurugenzi mkuu!
i look for senior posts,organization reputation and salary have a lot of interview tips and experienced interviewee in public sectoris that a compliment? Interview tano hajapata kazi! Unasindikiza wenzako tu. Better you review ur on interview
Wafanye mambo yapi? Kwa mtaji upi? Katika shamba lipi? Wawezesheni vijana muone.hivi mnafikiri wao wanapenda kukaa tu bila kazi? Jamani tusiongee tu bila kutafakari.Mtu anasema nenda kijijini ukalime, kwenye shamba la nani! Basi tupeane mawazo chanya yanayojenga na si kumjibu mtu kana kwamba unasukumia mzigo upande mwingine.i look for senior posts,organization reputation and salary have a lot of interview tips and experienced interviewee in public sector
wewe bado dogo sana!nahisi ume graduate last year!
haya bwana ngoja tukuone wewe! mwenye strategies an tips za interview ,if ure compentant enough to compete!
alafu fanya mambo mengine acha kusubiri kitaa!
sorry kama nimekukwaza!Wafanye mambo yapi? Kwa mtaji upi? Katika shamba lipi? Wawezesheni vijana muone.hivi mnafikiri wao wanapenda kukaa tu bila kazi? Jamani tusiongee tu bila kutafakari.Mtu anasema nenda kijijini ukalime, kwenye shamba la nani! Basi tupeane mawazo chanya yanayojenga na si kumjibu mtu kana kwamba unasukumia mzigo upande mwingine.
We huna akili kama sheikh ponda na wenzake kwa sababu badala ya kutumia sheria za nnji hii mnataka kutuletea upuuzi wa kuiga weee mtakoma na virungu vya polisi maana msifikiri ni yale ya sensa; ,paka aseme ni nani anampa vijihela kuja kutesa vijana wapigwe na polisi kwa manufaa yake mwenyewe.
Mbona hao wenzenu wakristo waliobomolewa nyumba zaoza ibada hawajalipiza kwenye msikiti hata mmoja!! Mjue hao kina ponda ni wapumbavu na wenzao ni werevu maana ukishindana na mpumbavu nawe unaonekana mpumbavu. Wao hao wamechanga mahela yao wanaendelea kuhubiri neno la Mungu huku nyie mnapigwa virungu na kunya kwenye ndoo. Acheni upuuzi jama mtakufa bure na mabomu ya kulia.