Wabongo huwa hatuna Malengo!
Auditor anatakiwa atestiwe kama ufahamu wa mbinu za Ukaguzi na si kumuuliza kila Kitu!
Tume ya Ajira nayo Mkweche!
Kuna uhalali na hili zoezi halijaanza leo.... tumefanya hivyo kuomba shule, kuomba kazi TRA, BOT nk. na tunafanya hivyo kwenye nchi mbalimbalikuitwa kwenye usaili watu zaidi ya 5000 kwa post 100 je kuna uhalali hapo?au ni kutaka kuwasubua abiria ambao hata nauli ya kuhadhuria huo usaili wanakopa,Tume inatakiwa ifanye kazi kiumakini na cyo kuwatesa wahitimu wa vyuo.
uLIKOSAUmenikumbusha interview ya NSSF mwaka jana tuliitwa watu 1500 kwa post 10 tu. Nilikuwa Zanzibar ikabidi nifunge safari kuhudhuria, tulijaza Diamond Jubilee Hall, ilikoishia wanajua wao wenyewe! Kwakweli wangekuwa wanachuja huko huko kupunguzia watu gharama
Na hii ndio attitude ya wabongo wengi... very narrow and soo deep we cant even argue a point outside the boxWabongo huwa hatuna Malengo!
Auditor anatakiwa atestiwe kama ufahamu wa mbinu za Ukaguzi na si kumuuliza kila Kitu!
Tume ya Ajira nayo Mkweche!
angalau kwa interview ya kuandika huwa nafasi moja kwa watu kumi, na inapokuja interview ya mdomo howa ni nafasi moja kwa watu watatu lakini hii ya nafasi moja kwa watu arobaini sio haki kabisaCareful shortlisting of applicants haiwezi kukupa watu zaidi ya 10 kwenye post moja!
still waiting tulikuwa kibao pale duce na ujuaji wa venue ulikuwa ishu unaweza poteza lisaa walisema tufike saa 2 asubuhi badala yake tukaanza saa 6 mchana hawajui watu wameagaje kwenye vibarua vyao?we spend almost the whole day there.wakitoa mjina ya waliopita wana jamii tuambizane coz tunasubiria wengine.
kuitwa kwenye usaili watu zaidi ya 5000 kwa post 100 je kuna uhalali hapo?au ni kutaka kuwasubua abiria ambao hata nauli ya kuhadhuria huo usaili wanakopa,Tume inatakiwa ifanye kazi kiumakini na cyo kuwatesa wahitimu wa vyuo.