Tume ya Haki za binadamu waichunguza Hospitali Mwananyamala

Lunyungu

JF-Expert Member
Joined
Aug 7, 2006
Posts
8,873
Reaction score
1,906
Tume ya Haki za binadamu waichunguza Hospitali Mwananyamala

Na Jackson Odoyo

 
hapa inabidi mmoja wao ajifanye mgonjwa kujua hali halisi ... la sivyo tumeumia .. tume chungu mzima zimeshaundwa kutokana na mapungufu au makosa yanayokea mahospitalini lakini .. i have never heard any action taken against anyone ... let this people be true to the suffering and not only come out with the trueth but also take serious measures against these babberic people and acts inorder to end this.

They should also encourage the use of suggestion boxes ... and have a habbit of atleast opening it once a week inorder to verify some claims if any ... guess this will also act as a displinary action against an mal treatment by doctors and nurses for fear of being exposed.

one such cases must be handled with stern measures to let is serve as a lesson to others
 


Mimi nashangaa sana ukimya wa wizara kuficha info na kuwawekea kifua wale wauguzi na walio kuwa zamu .Hili linatisha sana.
 
hii tume nashangaa kuwa inafanyakazi katika sehemu ambazo hazina masilahi kwa mafisadi tu.
hatujawahi kusikia tume hii inafanyakazi kwa watu wa kwenye migodi ambao kila siku tunasikia kama hawajafyatuliwa risasi, tumesikia wanaingiliwa kwa nguvu. au kule si ukiukaji wa haki za binaadamu madhali anayekiuka ni mwekezaji mzungu?
 
Hii inaitwa ni Tume ya Rais na ndiyo maana iko mlangoni kwa Rais na wateule wengi wa juu ni wa Rais tena wamchunguze Rais ? Maajaby haya ya kusema Hosea aanze kuulizia habari zaidi kabla hajaambiwa fanya .Hawa ni wababaishaji wakuwa .Wamewahi kupewa kesi ya mauaji wakaleta mambo ya ajabu na hata huwezi kuamini majibu yao kwa wale walio enda kulala .Waliandika barua wana waambia waende wakabebe mafaili wawapelekee ofisini yaani mtu abebe file toka Kanda ya Ziwa .Nina nala ya barua ya Tume hii wakibisha nitaweka hapa wazi .
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…