Hii haina uhusiano na katiba mpya ya Kenya.
Ni sheria ya Commonwealth. Jaji yeyote hawezi kuondokewa madarakani akifanya makosa mpaka panel ya majaji watatu kutoka nchi za Commonwealth waamue.
Hata Tanzania jaji akivunja sheria itabidi raisi aunde panel ya majaji kutoka nchi za Comminwealth kumhukumu.
KATIBA MPYA YA KENYA INARUHUSU TRANSPARENCY - NA UCHUNGUZI HURU; SISI NA HII SERIKALI YA CCM
YA KUSAMEHEANA LEO NI FISADI KESHO RAIS anakusafisha na Majudge; Polisi; Takuhuru na Usalama wa Taifa
Wananyamaza... Sidhani chochote kitafanyika Mpaka labda Mataifa ya Nje yaanze kuitishia CCM; na sidhani
Angalia kuna URANIUM, IRON, GAS, inatosha kusahau wizi wa VIONGOZI wa nchi... Mfano Mzuri ni wakati wa MOBUTU
Mnakumbuka kesi ya Jaji mwakibete?Tafuteni kumbukumbu ili muweze kujua kesi za majaji zinaendeshwa vipi.Rais anaweza kuteua jaji yoyote kutoka jumuia ya madola kufanya uchunguzi.Tanzania ilishatokea kwa jaji mwakibete enzi za Utawala wa Mwinyi
sasa huyu AGUSTINE Ramadhan mbona ya TZ YANAMSHINDA?