Geofrey Andrew Sanga
JF-Expert Member
- Apr 8, 2013
- 251
- 55
Mwenzenu nasikitishwa na tume hii ya katiba inayoongozwa na mzee wetu walioba kukusanya maoni kwa watanzania juu ya katiba mpya huku watanzania wengi wakiwa hawaijui hata ya zamani inasemaje? kwa maoni yangu walipaswa kutuelimisha kwanza ile ya zamani inasemaje? ndipo watuulize tunasemaje juu ya katiba mpya.
Ajabu zaidi ni pale mzee walioba alipotoa rasmu ya katiba mpya na kutaka watz waijadili na kutoa maoni ya kuiboresha huku upatikaji wake ukiwa majabu matupu nakumbuka walisema sema kuwa rasmu hizo zitakuwa zinapatikana kwenye ofisi za wakuu wa wilaya kumbe ilikuwa kamba tupu kwani jana tarehe 23/6/2013 nilienda mwenyewe katika ofisi ya mkuuwa wilaya ninayoishi yaani mbeya mjini nikaambiwa hazipo najiuliza kama hazipo jiji kama hapa je huko mbali na vijijini zitafika lini?
Ushauri wa bure kwa tume kwanini wasigawe hizo rasmu za katiba kwa watanzanaia kwa mtindo kama wa kuuza magazeti yaani hata ikibidi wagawe kwa wauza magazeti tujangie hata kama ni kwa hera labda hata mia tano ambayo watania wengi wataimudu kuliko kutudanganya kuwa rasmu zinapatikana bure kumbe hazipo kabisa
NB:- JANA NILIULIZIA KATIKA OFISI YA MKUUWA WA WILAYA MBEYA NIKAKOSA.
OFISI YA DAS MBEYA NIKAKOSA
NA MASIJALA MBEYA NIKAKOSA
KAMA KUNA MWENYE NAYO HAPA MBEYA MJINI ANIUZIE HATA KAMA HAIUZWI NITANUNUA KWA MASLAHI YA TAIFA ANIPIGIE 0764986092