Kutokana na ratiba ya tume ya kukusanya maoni ya katiba ,leo ijumaa tume ipo jiji la arusha pale katika viwanja vya ngarenaro sekondari ,wananchi wa arusha fikeni mtoe maoni yenu juu ya katiba mpya .ukisoma hapa mkumbushe na mwenzako
Wasisahau kutoa maoni ya kumpunguzia madaraka rais. Mawaziri wasitokane na wabunge. Wakuu wa wilaya wafutwe. Pia tunataka serikali za majimbo. Toeni maoni ambayo yataandaa bright future ya watanzania.