Tume ya katiba ya chemsha

structuralist

JF-Expert Member
Joined
Oct 13, 2012
Posts
1,230
Reaction score
907
,Katka hali ya kushangaza tume ya katiba imekataa waandishi wa habari kuhudhuria mkutano wake na vyama vya siasa. Katika mtizamo wa kitaifa vyama vya siasa ndivyoambavyo vinaunda serikali ya kuongoza wananchi sasa kwa nini watoe maoni yao kwa siri? Inamaana wanayo hubiri jukwaani na walionayo moyoni ni tofauti kwa kiwango hicho? Na inaonekana waandishi wa habari hawataruhusiwa pengine kwa makundi yote yatakayo toa maoni yao kwa sasa,hii tafsiri yake nini? Nini haja ya kuficha maoni kama ni kwa maslahi ya taifa? Kwa hakika nchi hii.........................
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…