Tume ya katiba

Tume ya katiba

gbrother

JF-Expert Member
Joined
Mar 22, 2011
Posts
408
Reaction score
51
Mpaka sasa waziri wa sheria mh mathias chikawe anasema tume imeshatumia bil 7,
inawezekana kweli?
 
Kaka kwa Tz inawezekana.....wewe ulitegemea katika maisha yako kuwa TWIGA angeliweza kusafirishwa kwa siri kutoka mbuga za wanyama hadi kufikishwa KIA na kusafirishwa kwa siri kwenye ndege akiwa kwenye siti????? ONLY IN TZ.
 
Back
Top Bottom