gbrother JF-Expert Member Joined Mar 22, 2011 Posts 408 Reaction score 51 May 9, 2012 #1 Mpaka sasa waziri wa sheria mh mathias chikawe anasema tume imeshatumia bil 7, inawezekana kweli?
STK ONE JF-Expert Member Joined Dec 31, 2011 Posts 627 Reaction score 184 May 9, 2012 #2 Kaka kwa Tz inawezekana.....wewe ulitegemea katika maisha yako kuwa TWIGA angeliweza kusafirishwa kwa siri kutoka mbuga za wanyama hadi kufikishwa KIA na kusafirishwa kwa siri kwenye ndege akiwa kwenye siti????? ONLY IN TZ.
Kaka kwa Tz inawezekana.....wewe ulitegemea katika maisha yako kuwa TWIGA angeliweza kusafirishwa kwa siri kutoka mbuga za wanyama hadi kufikishwa KIA na kusafirishwa kwa siri kwenye ndege akiwa kwenye siti????? ONLY IN TZ.