Tume ya kuchakachua katiba iko kwenye trining ya kufa mtu

Tume ya kuchakachua katiba iko kwenye trining ya kufa mtu

MZEE SERENGETI

JF-Expert Member
Joined
Oct 8, 2010
Posts
214
Reaction score
10
Habari za kuaminika zinasema tume inayo undwa kwa ajili ya kupita mikoani kuwaelezea wananchi juu ya mabadiliko ya katiba,inachakachuliwa kwanza ndio ianze kazi.MAONI ZAIDI( PLS)
 
Habari za kuaminika zinasema tume inayo undwa kwa ajili ya kupita mikoani kuwaelezea wananchi juu ya mabadiliko ya katiba,inachakachuliwa kwanza ndio ianze kazi.MAONI ZAIDI( PLS)

Sio lazima kupost thread, unaweza ukachangia tu thread za wenzako.
 
Kama walio anzisha mjadala huo watabweteka ni kweli wengine watachukua kiti cha mbele, na kupotosha kila kitu. Kazi iliyopo sasa ni kwa chadema kufanya mawasiliano na wadau mbali mbali zikiwemo NGOs, Vyuo vya elimu ya juu,Vyama vya siasa, Mashirika ya dini Vyombo vya habari, Wana harakati mbalimbali n.k ili kuwa na msimamo wa pamoja.
 
unataka maoni gani? Hiyo tume ina watu gani?
 
Back
Top Bottom