Una upeo finyu sana, ajabu nawe ndie mhitimu wa hiyo Law School.
Mtu akilalamikia watuhumiwa wa panya rodi kuuwawa mikononi mwa polisi bila kufikishwa mahakamani, mnamuita naye ni panyarodi.
Huyu anayeonesha tatizo la mambo yanavyokwenda pale Law School naye unamuita ana supp, kama vile alikuonesha matokeo yake, kwa upeo wako finyu, mtu akifaulu mahali hawezi kuona tatizo lolote la mahali husika, kwako sharti apasifie tu.
Elimu uliyoipata haijakukomboa kifikra, wewe bado ni mtumwa.
Wenye akili zao wanakuona kilaza mkuu.Si kila mtu anaweza kuelewa kinachoongelewa hapa. Wenye akili zao wameelewa na sasa wanaongelea umuhimu wa tume.
Wengine hata mkikaa kwa kutulia tu mkaendelea na mada zenu za Simba na Yanga kwani kuna ubaya gani ndugu?
Unahojahoja? Kwan LST ilianzishwa na udsm??Na Kwanini walimu wa udsm wamedominate Hapo LST?Kama tafsiri ya Ndumbaro ni kuwa pass na supp ni kufaulu basi:
View attachment 2385449
Kumbe ni ufaulu wa 58%?
Kwa nini UDSM Faculty of Law Iko kwenye Governing Body ya LST? Kwanini siyo Tumaini, Saut nk?
Lugha za Dr. Ndumbaro muunda tume hazina afya kwa mustakabala wa haki LST.
Suala la reshuffle kamili LST haliepukiki.
Ujinga ni kuamini wakifaulu wachache ndio wamefaulu kihalali.Wenye akili zao wanakuona kilaza mkuu.
Unapambania ujinga.
Ilianzishwa mwaka gani?Unahojahoja? Kwan LST ilianzishwa na udsm??Na Kwanini walimu wa udsm wamedominate Hapo LST?
Wenye akili zao wanakuona kilaza mkuu.
Unapambania ujinga.