Wild Flower
JF-Expert Member
- Jul 20, 2023
- 977
- 1,966
Ngoja niusikilizee hapa huo wimboo..Kuna mwimbo wa Marehemu Remmy Ongala unaimba niseme nini. Ukiusikiliza basi mamabo haya utayaona yakawaida kabisa.
Walipewa madaraka wakashindwa kuwajibika..Kuna mwimbo wa Marehemu Remmy Ongala unaimba niseme nini. Ukiusikiliza basi mamabo haya utayaona yakawaida kabisa.
Aksante sana mkuu, tuendelee kusubiria majibu ya tume.Walipewa madaraka wakashindwa kuwajibika..
Shehe anauza bangi
Daktarii Kabaka mgonjwa
Polisii anauza gongo
BARABARA mashimo matupu
Mbunge anauza pembe
Askofu anauza SABUNI za misaadaa
Mwalimu anauza maandazii
Niseme nini...niseme nini....sina la kusemaa..
Kwa uchache sanaaa
Hospital wagongwa wanalala chiniiiAksante sana mkuu, tuendelee kusubiria majibu ya tume.
Kwakweli halafu aliyoyaimba yapo na ndio tunaishi nayo sasa, ni jambo kama alikuwa analisema litajakutokea hivi.Hospital wagongwa wanalala chiniii
Saaa mbili nasubuhii...folenii kwenye supuuuuuu...
Aiseeee huyu remmy ni nomaaa alikua na nyimbo nzuriii sanaaa...
Umenifanya niingie nisikilizee nyimbo nyingine mbali mbaliiii
HakikaKwakweli halafu aliyoyaimba yapo na ndio tunaishi nayo sasa, ni jambo kama alikuwa analisema litajakutokea hivi.
Tume ya mchongo hii, kwahiyo Makamba aliandamana tarehe 29 October.Tume ya Kuchunguza Matukio ya Uvunjifu wa Amani yaliyojitokeza wakati na baada ya Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 29, 2025, leo Januari 14, 2026, imekutana na mwanasiasa January Makamba. - Mkutano huo wa Tume na Makamba, ambaye amepata kuhudumu nafasi mbalimbali ikiwemo uwaziri katika awamu tofauti za serikali, ulifanyika katika ofisi za Tume hiyo zilizopo Benki Kuu ya Tanzania (BoT) jijini, Dar es Salaam. - Miongoni mwa yaliyojadiliwa ni pamoja na namna matukio hayo yalivyoanza, athari zake kwa watu, mali na miundombinu pia ushauri wa namna ya kuondokana na matukio hayo.
Makamba atasema ukweli gani wakati anatafuta kurudi kwenye uwaziriTume ya Kuchunguza Matukio ya Uvunjifu wa Amani yaliyojitokeza wakati na baada ya Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 29, 2025, leo Januari 14, 2026, imekutana na mwanasiasa January Makamba. - Mkutano huo wa Tume na Makamba, ambaye amepata kuhudumu nafasi mbalimbali ikiwemo uwaziri katika awamu tofauti za serikali, ulifanyika katika ofisi za Tume hiyo zilizopo Benki Kuu ya Tanzania (BoT) jijini, Dar es Salaam. - Miongoni mwa yaliyojadiliwa ni pamoja na namna matukio hayo yalivyoanza, athari zake kwa watu, mali na miundombinu pia ushauri wa namna ya kuondokana na matukio hayo.
mbinu mpya hii mwisho utasikia wanaenda kwa kitima na wengine adi hecheTume ya Kuchunguza Matukio ya Uvunjifu wa Amani yaliyojitokeza wakati na baada ya Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 29, 2025, leo Januari 14, 2026, imekutana na mwanasiasa January Makamba. - Mkutano huo wa Tume na Makamba, ambaye amepata kuhudumu nafasi mbalimbali ikiwemo uwaziri katika awamu tofauti za serikali, ulifanyika katika ofisi za Tume hiyo zilizopo Benki Kuu ya Tanzania (BoT) jijini, Dar es Salaam. - Miongoni mwa yaliyojadiliwa ni pamoja na namna matukio hayo yalivyoanza, athari zake kwa watu, mali na miundombinu pia ushauri wa namna ya kuondokana na matukio hayo.
Makamba atasema ukweli gani wakati anatafuta kurudi kwenye uwaziri
SidhaniAmewekwa nje abaki msafi kwaajili ya 2030. Anatakiwa kuonekana hayupo na serikali ya sasa.
Huyu walisema kakimbia nchi. Nadhani wameweka hivyo ili kuaminisha umma wa watanzania kua kijana yupo hajakuambia nchi ..Sasa sijui ni kweli ama ni AI...Kuna jambo gani kwenye kutangaza huku hawa wanaokutana nao?