A
Anonymous
Guest
Hizi leseni mbona zinatolewa kwa upendeleo na maombi yetu yanaambiwa hayasikilizwi kwa kuwa hakuna board, wote wamestaafu huku wachimbaji wengine wakipewa leseni
Waziri Mavunde hebu tusaidie na sie tuweze pata leseni tuendele na kazi sababu ukisema tusubiri board ipitishe inakuaje wengine wapate sie ndio tusubiri?
Hii sio sawa kabisa tupatie leseni tafadhali kama wenzetu.
Soma Pia: Tume ya Madini na Wizara ya Madini watendeeni haki Watanzania ambao ni wachimbaji wadogo wa madini