Tume ya nini matokeo mabovu?

JOSEDIZOZ

Senior Member
Joined
Dec 29, 2012
Posts
134
Reaction score
30
mbn tunamtafuta mchawi tunae mfaham.tume iliyoundwa ni kupoteza muda na rasilimali pesa zitokanazo na kodi zetu.matatizo yaliyoko sekta ya elim hakuna kiongozi wa serikali asiye yafaham.corruption na embuzlement of public fund mpaka kwa walimu wakuu.hakuna anaejali elimu bora kwa kizazi cha tanzania.kuanzia mtt wa heamaster na viongozi wakuu wa serikali hakuna anaepeleka mtt wake public school ya low class unategemea wazijali hz shule.kuna moja ya shule iko town kabisa inasikitisha darasa vumbi tupu na shule haina hata miaka mitano.watoto wakimaliza fm 4 wanaondoka na TB.watu wapo kazi madoido na mbwembwe za kipuuzi wakijifanya maofisa.mtu asiyetimiza wajibu wake mahala alipo pangwa kwangu ni MPUUZI tu hata awe na cheo gani.tatizo hatuwajibishani nchi hii shule walimu wakuu wanazichukulia km za kwao.hawana creative ideas za kufanya vijana wawe na moyo wa kujifunza kazi ni kupanga matumizi ya kipumbavu kwa pesa za shule.tubadililike na tusione aibu kuwajibishana inatia kinyaa sekta ya elimu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…