Perry JF-Expert Member Joined Feb 24, 2011 Posts 10,058 Reaction score 2,195 Jun 28, 2011 #1 Heshima mbele wakuu!naomba kuulza,hivi ile tume iliyoundwa na rais jk kufuatilia na kutoa mapendekezo ya jinsi ya kutoa mikopo ya elimu ya juu chini prof maboko haijamaliza 2 kazi yake?maana karibu mwaka mpya wa masomo unaanza sasa!
Heshima mbele wakuu!naomba kuulza,hivi ile tume iliyoundwa na rais jk kufuatilia na kutoa mapendekezo ya jinsi ya kutoa mikopo ya elimu ya juu chini prof maboko haijamaliza 2 kazi yake?maana karibu mwaka mpya wa masomo unaanza sasa!