Kura kwa Lissu sasa tuna mgombea bora kweli kweliNauona umuhimu wa kupiga kura kipindi hichi.
piga kura tutailindaNauona umuhimu wa kupiga kura kipindi hichi....
Kulinda mali yangu ni muhimupiga kura tutailinda
anatoa hoja ambazo ccm hawana uwezo wa kuzijibu hata wakikusanyika woteKura kwa Lissu sasa tuna mgombea bora kweli kweli
Ni Lini mliwahi kukubali Viongozi wenu hamnazo kichwani? Siku wakihama ndio akili zenu ukaa sawa nyie mlimpa kiburi Membe ooh Kachero Kachero yuko wap?
Mkuu mimi niko Chdema siko chama cha MembeNi Lini mliwahi kukubali Viongozi wenu hamnazo kichwani? Siku wakihama ndio akili zenu ukaa sawa nyie mlimpa kiburi Membe ooh Kachero Kachero yuko wap?
Yaani Lisu anatosha. Yule wa kutoka foka akamfokee mkeweKura kwa Lissu sasa tuna mgombea bora kweli kweli
Nitakuwa wa kwanza kwenye kituo changu.Piga kura Linda kura, fisi aachiwi bucha
Mwaka huu mzee tunamjambisha asubuhi na mapema!piga kura tutailinda
Hahahaaaa ndugu ndo kujifariji gani huku?.Nakushauri utafute namna nyingine ya kujifariji.Hii sio.Uchaguzi huu CCM inakwenda kushinda kwa kishindo kwakua upinzani nidhaifu kuliko wakati wowote tangu kuanzishwa kwa vyama vingi.