Uchaguzi 2020 Tume ya taifa ya uchaguzi (NEC), nawasihi, kupitisha jina la Lissu kugombea Urais, ni kuweka rehani Amani na Usalama wa Taifa

Hv ww izo 7000 km umepewa si ni ww sisi unatuhusishaje waambie waliokutuma km wanataka tuwe upande wao watupe watanzania wote elfu 7 na sio kutuletea thread zako za kipuuz humbadilish mtu labda mtoe chapa
 
Lissu ni mkora tu,asituharibie nchi yetu,msaliti huyo
 
shari zenyewe nizile za nitafumua TRA wakandalasi wandani nitawalia madeni yote wanadai serekali nitalipa wastaafu mafao yao unamaani hizi kweli ni shari bwashee
 
Haya mambo muwaachie wenyewe NEC mkiongea sana mnakua kama mnawafunza kazi,wapo kwa mujibu wa sheria na watasimamia sheria na kanuni ipaswavyo tuwape muda jaman
 
Lissu utafikiri Magufili kamtomb ea,si kwa gubhu hilo
 
Polee sana mwana Lumumba. Hayo ndo matunda ya kutumia nguvu badala ya akili. Tundu Lissu mmemjenga wenyewe wa ufedhuli wenu na lolote mtakalofanya juu ya Lissu hakuna atakaewaelewa si Watanzania wala si jumuiya ya kimataifa.
Nyie ni kikundi cha watu wachache sana mnaotaka kujimilikisha hii nchi na uzuri ni kuwa tumeshawagundua. Hakuna rangi mtaacha ona mwaka huu.

Nikushauri tu, ungetumia muda wa sasa kumwambia huyo Magu wako ajiandae tu kisaikolojia kumuachia Tundu Lissu ikulu maana hawezi shinda vyovyote vile, iwe kihalali au kwa kuiba kura .

Hivi nikuulize, Mlipoamua kumpiga risasi hamkuwaza endapo akipona haya yatatokea????
 

Nabii Tito wengine tunaona hivi:

Pongezi Sirro, Mahakama na Tume ya Uchaguzi kazi kwenu.

Ustaarabu ni kuvumiliana kimitizamo.

Wengi wape - sanduku la kura liheshimiwe.

Tusitafutiane mabalaa yasiyo ya lazima.
 
Ikulu sio maabara ya biology haitumiki kufanya experiment, tunapeleka mtu ikulu tulie na uhakika na kazi yake, sio Lissu asiyekuwa na rekodi yeyote ya utendaji kazi
Utapanua sana hilo domo na mwisho utapanua sijui na wapi kule lakini huu mwaka mmekwama.
 
Sheria afuate mkondo wake bila yoga wa serikali au mabeberu
 
Kwahiyo mnategemea kura za huruma
 
Umepoteza muda wako kuandika ugoro, huko shule ulienda kusomea ujinga??
 
NEC haiwezi kusikiliza maoni ya mtu mlevi asiye na akili.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…