Uchaguzi 2020 Tume ya taifa ya uchaguzi (NEC), nawasihi, kupitisha jina la Lissu kugombea Urais, ni kuweka rehani Amani na Usalama wa Taifa

Wewe kima
 
The biggest problem of our country for now is Magu after ccm ,believe you or not
 
Lissu anaogopwa sana.Sifa za wanaume ni kukabiliana na lililo mbele yako si kutafuta vijisababu.
Magu na CCM yake wanamuongopa Lissu kuliko wanavyoiogopa corona.hope huu ndio muda muafaka kwa corona kumfyekerea huyu mhutu mbali
 
Kiwewe kimewana. Nalisema hatapitishwa? Nyie wenyewe na kiwewe chenu tu
 
Kafie mbele wee mama.
 
Wacha hofu
 
Lissu apitishwe na tume kugombea ili tumuadhibu kwenye kura na tunajua ametumwa kuleta chokochoko ndio maana unamuona anatumia nguvu nyingi kuvunja baadhi ya kanuni na utamaduni wetu ili akatwe aliingize taifa kwenye vurugu ili wale walioambiwa tanzania sio shamba la bibi wajifanye wanakuja kutoa msaada ili waingie nchini kwa mlango wa nyuma lengo lao magufuli aondoke madarakani kwa namna yoyote aachwe aonyeshwe kwamba magufuli bado tunamuitaji atajikimbilia tena huko alikotumwa maana namuona anavyojiamini utadhani ameshapita,hawezi kushinda hata kwa kura zinehesabiwa hadhalani.
 

Nyie ni wafa maji hamuishi kutapatapa!! Amani ya nchi itavurugwa na ccm kwa kuwanyima wananchi haki yao ya kuchagua watu wa kuwaongoza!! Acheni kutumia dola kuwanyima wananchi hazi zao.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…