Tume ya Uchaguzi iliyopo ingeonesha uadilifu kwa kujiuzulu

Ntozi

JF-Expert Member
Joined
Feb 1, 2021
Posts
226
Reaction score
300
Kila kona waelewa wote wanataka iwepo tume huru ya uchaguzi, yamesemwa hata na wana CCM wakongwe na wenye heshima zao ndani ya nchi.

Kuna wakati hata Rais wetu alikemea mambo fulani yaliyofanywa na tume, kuwa yasijirudie katika chaguzi zijazo Kwa kuwa hayana mashiko.

Sasa hivi kuna kikosi kazi kimeundwa ambacho pamoja na mambo mengilak lakini kupataTume huru ya uchaguzi ni agenda kuu kabisa.

Hii maana yake ni kwamba tume iliyopo si huru, si ya haki na pamoja na kuwepo pale Kwa mujibu wa Shlakin lakini kazi zake na Hasa za uchaguzi wa 2Kwa.

Kwa kweli ni ubatili mtupu. Katika hali ya kawaida, na kwa kusoma upepo unavilikuwa ilikuwa ni heshima kujiondoa katika ujumbe wa tume ili kuonesha mshikamano katika hili jambo la kitaifa.

Sent from my Nokia 5.1 Plus using JamiiForums mobile app
 
Haijawahi kutokea afrika, zaidi Tanzania🤔.
 
Hiyo kujiuzulu,wajumbe wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi wanaccm wajiuzulu?La hasha,hawatajiuzulu kwa kuwa huwa ni wabinafsi mno.
Hakuna shortcut isipokuwa tudai Katiba ya Wananchi maana ni Haki yetu from the beggining.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…