TUME YA UCHAGUZI kubadilisha jina Itaitwa TUME HURU YA UCHAGUZI

TUME YA UCHAGUZI kubadilisha jina Itaitwa TUME HURU YA UCHAGUZI

Dragunov Sniper

JF-Expert Member
Joined
Mar 9, 2015
Posts
2,795
Reaction score
9
[TABLE="class: t1"]
[TR]
[TD="class: td1"]IBARA YA 220.-(1) Tume Huru ya Uchaguzi itakuwa na wajibu wa:
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="class: td1"]

(a) kusimamia na kuendesha shughuli zote za uchaguzi wa Rais na Wabunge katika Jamhuri ya Muungano;


[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="class: td1"]

(b) kusimamia na kuendesha kura ya maoni;


[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="class: td1"]

(c) kusimamia na kuratibu uandikishaji wa wapiga kura katika Jamhuri ya Muungano;


[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="class: td1"]

(d) kugawa na kutangaza majimbo ya uchaguzi wa Wabunge wa Bunge la Jamhuri ya Muungano; na


[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="class: td1"]

(e) kutangaza matokeo ya uchaguzi wa Rais na Wabunge, au matokeo ya kura ya maoni.


[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="class: td1"](2) Tume Huru ya Uchaguzi itakuwa na wajibu wa kutoa elimu ya mpiga kura wakati wa uchaguzi au kura ya maoni na kuratibu utoaji wa elimu ya uraia kuhusu uchaguzi, au kura ya maoni na kusimamia asasi za kiraia, taasisi, jumuiya au makundi ya watu yatakayotoa elimu hiyo.
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="class: td1"](3) Tume Huru ya Uchaguzi pia ina wajibu wa kuhakikisha kuwepo kwa:
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="class: td1"]

(a) uhuru wa wananchi katika kutumia haki ya uchaguzi na kuchaguliwa kupitia vyama vya siasa au mgombea huru;


[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="class: td1"]

(b) uzingatiaji wa misingi ya upigaji kura wa mtu mmoja kura moja; na


[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="class: td1"]

(c) uchaguzi huru na wa haki.


[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="class: td1"](4) Tume Huru ya Uchaguzi inaweza kutekeleza shughuli zake bila kujali kwamba kuna nafasi ya madaraka ya mjumbe iliyo wazi miongoni mwa wajumbe au kwamba Mjumbe yeyote hayupo, lakini kila uamuzi wa Tume Huru ya Uchaguzi ni lazima uungwe mkono na wajumbe walio wengi kati ya idadi ya Wajumbe wote wa Tume Huru ya Uchaguzi. ...
endelea kusoma uataona

[/TD]
[/TR]
[/TABLE]
 
Tume huru ni kama iliyokuwa ya Mzee Warioba. Tume ya uchaguzi iliyopo sasa inastahili kuendelea kuitwa hivyo kwani bado haijawa huru. Ikiundwa kwa mchanganyiko kama ulio unda Tume ya mabadiliko ya kayoba hapo itakuwa huru. Jibu lipo, tume ile ya mzee Warioba hukupata kisikia minongono kwamba siyo huru! Lile nalo liwe somo kwa watawala 'siyo viongozi' wetu
 
Back
Top Bottom