Uchaguzi 2020 Tume ya Uchaguzi makali kama msumeno

NEC imejaa wapuuzi ile.

Watu wasio na utu hata kidogo.

Ni watu wazima lakini akili zao hazina tofauti na watoto wadogo.

Tume ya uchaguzi ndiyo inayoshiriki kuhujumu uchaguzi
Wafuasi wa Lissu mmeambiwa muache matusi.
 
NEC imejaa wapuuzi ile.

Watu wasio na utu hata kidogo.

Ni watu wazima lakini akili zao hazina tofauti na watoto wadogo.

Tume ya uchaguzi ndiyo inayoshiriki kuhujumu uchaguzi

Frustrations za kila aliye kuwa frustrated na tume ziko wazi mno.

Rafu za kujimilikisha vyombo vya habari, engua engua, vitisho, rushwa, lugha zisizokuwa rasmi majukwaani.

Jamani eeh mbona offside za wazi mno?
 
Tupo watanzania wengi tu ambao huyu bwana si chaguzi letu.

Tume ikitenda mambo kwa uhuru na haki huyu bwana hakatizi kwenye sanduku la kura.
Hahaha comrade sio mbaya kujipa matumaini kuwa Chadema mtachukua nchi ila mjiandae kisaikolojia kuukubali ukweli.

October inakuja msije kufa kwa kihoro.
 
Frustrations za kila aliye kuwa frustrated na tume ziko wazi mno.

Rafu za kujimilikisha vyombo vya habari, engua engua, vitisho, rushwa, lugha zisizokuwa rasmi majukwaani.

Jamani eeh mbona offside za wazi mno?
Tume limejaa wapumbavu lile
 
Matusi hayatawapa kura comrade. Zaidi zaidi mnazidi kutuaminisha wapiga kura kuwa chadema ni chama cha wahuni.

Mkuu kwa upande wa tume unayaona haya?

"Rafu za kujimilikisha vyombo vya habari, engua engua, vitisho, rushwa, lugha zisizokuwa rasmi majukwaani."

Kwa hakika hayupo mpenda haki anayeweza kuwa na maneno au majina matamu kwa NEC.

Kwa jinsi hii waipambe NEC kwa jema lipi la kuashiria kuwa hawapendelei upande mmoja?
 
Wanaposema matusi wangekuwa wanatoa na references za matusi hayo.

Wanaongea ki jumla jumla sana. Waseme, ni nani katukana na kamtukana nani, na nini au lipi lilikuwa tusi.

Hili jukumu si la tume ni la msajiri wa vyama.
 
Yaonyesha yasipoimbwa mambio ya kusifu hapo ni matusi.

Uzuri wameshatufikisha patamu.

Acha waendelee Ila wajue wanachuma janga. Hili tutalila sote.

Tutaelewana tu. ICC si nayo ipo?

Safari hii -- basi!
 
Tume imewarudisha wagombea wengi tu waliokuwa wameenguliwa hapo awali. Hakuna mpenda haki atayeacha kuipongeza tume juu ya hilo.

Tatizo lenu wapinzani hamna jema hata moja.
 
Tume imewarudisha wagombea wengi tu waliokuwa wameenguliwa hapo awali. Hakuna mpenda haki atayeacha kuipongeza tume juu ya hilo.

Tatizo lenu wapinzani hamna jema hata moja.

Mkuu si kweli kuwa hapongezwi mtu kwa jema:

Pongezi Sirro, Mahakama na Tume ya Uchaguzi kazi kwenu

Hata hivyo kurejeshwa wengi haitoshi. Wengi ni wangapi? Kwa nini si wote? Ikumbukwe pia kuwa kuwarejesha wagombea hawa si hisani ya tume.

Busara ilikuwa kuwarejesha wote wanaolalamika kwa kuenguliwa ndivyo sivyo. Mbona Sirro alipofanya vyema amekuwa akipongezwa waziwazi?

Kwa amani ya nchi hii, tume mnao mchango mkubwa, msituangushe

Acheni wakashindwe kwenye sanduku la kura. Si wagombea mboga mboga wanakubalika mno. Hofu ya nini basi?

Tume na watende haki na tutawapongeza vilivyo.
 
Hivi hizo sheria na kanuni za matusi 2015 zilikuwa likizo? Nadhani watu watulizane tu sindano zinazowaingia ziwaingie. Kukiliwa kwa mwali na kungwi avumilie kwake kuliwe...
Hivi kina Lusinde na Musukuma and co. hawajatukana wala kutoa kashfa mhula huu?
 
Tume imewarudisha wagombea wengi tu waliokuwa wameenguliwa hapo awali. Hakuna mpenda haki atayeacha kuipongeza tume juu ya hilo.

Tatizo lenu wapinzani hamna jema hata moja.
Wawarudishe wote hakuna kupita bila kupingwa...
 
Comrade kuna sheria zinazosimamia zoezi zima la uchaguzi. Wagombea walioenguliwa wameenguliwa kwa sababu mbalimbali na sio wameonewa. Kutakua na tija gani ya kutunga sheria halafu tusizitumie?

Kwa mfano Wakati Lissu ameweka mapingamizi dhidi ya Magufuli, lengo lake lilikuwa ni kuishawishi tume imuengue Magufuli. Na kama sababu za Lissu zingekua na tija Magufuli angeenguliwa na tume. Lingetokea hilo sidhani kama chadema mngekuja hapa kusisitiza Magufuli arudishwe kwenye kinyang'anyiro.
 
Wawarudishe wote hakuna kupita bila kupingwa...
Wakati Lissu anaweka pingamizi dhidi ya Magufuli lengo lilikua ni kumuengua Magufuli kwenye kinyang'anyiro. Sasa comrade njia iyo iyo aliyotumia Lissu ndio iliyotumika kuwaengua wagombea wenu.
 
Wakati Lissu anaweka pingamizi dhidi ya Magufuli lengo lilikua ni kumuengua Magufuli kwenye kinyang'anyiro. Sasa comrade njia iyo iyo aliyotumia Lissu ndio iliyotumika kuwaengua wagombea wenu.
Vazi humstiri mtu ila afunguapo kinywa huumbuka!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…